Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani tulipokuwa tunawauliza kuhusu madaraja mkajitetea kuwa nyinyi hamna sehemu za kujenga madaraja ndiyo maana tumewazidi ,sisi tukaamini ila sasa nashangaa hizo sehemu za kujenga mnazitoa wapi ? Kumbe mlikuwa mnatudanganya kuficha aibu[emoji1787][emoji1787]Ujenzi wa huu daraja ulianza hapo awali na progress nzuri ishafanyika. Itakuwa 1.44 kilometres long. Video ya progress ndio hii hapa. Kuna watu huwa wanasema kwamba Kenya hatujengi madaraja.
Umesahau kwamba lile refu zaidi East Africa lipo MwanzaMadaraja yenu yote ya kutajika yako Dar. Mbona hamjengi madaraja Dodoma?
Ungebarikiwa na akili ungejua madaraja hujengwa kwenye kuna maji, na kwenye yanahitajika.
Mombasa kuna maji, lakini watu sio wengi wa kuhitaji madaraja mengi.
Ujenzi wa huu daraja ulianza hapo awali na progress nzuri ishafanyika. Itakuwa 1.44 kilometres long. Video ya progress ndio hii hapa. Kuna watu huwa wanasema kwamba Kenya hatujengi madaraja.
Naona wameacha kale kamchezo kao ka kusema Africa's longest, ha ha ha.Mm nimependa Ulivyo Andika Kenya's longest bridge Kumbe unajua Hilo