Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

[emoji115][emoji115][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hiyo $200-250 ina cover nini na nini?
 
Hiyo $200-250 ina cover nini na nini?
Hii inashughulikia malazi, usafiri ndani ya Bhutan, mwongozo kwa tours, kiingilio na chakula.
Malipo ya ziada yanaweza kuwa ni pamoja na hot-stone baths, maonesho ya kitamaduni, kupanda farasi, rafting, baiskeli za mlimani na tips kwa tour guiders.
Children under 12 years are exempt from the royalty component ($65) ......

Ziara zinafanyiwa malipo kabla (prepaid) hivyo utahitaji fedha tu kwa ajili ya vinywaji, udobi, souvenirs na tips kwa guiders; kwa haya, unahitaji kuwa na fedha cash. Kuna ATM katika miji mikubwa. Credit cards zinakubalika katika baadhi ya hoteli na souvenir shops (haya ni maduka ya gift ndogo ndogo ama cultural stuffs), lakini katika miji mikubwa tu au maeneo yanayotembelewa sana.
 
Asante sana kwa mchanganuo mzuri.
I wish siku moja nitembelee.
 
Moderator kwanini mlihamishia huku huu uzi? Huu uzi si wa makumbusho kwani una current issues kibao tu...
 
'Lengo langu namba moja nisafiripo ni kuwala madada wa nchi husika,sasa kama kupata demu ni issue,basi wanisahau siwezi kwenda.
Nalog off
 
Hivi bongo ni asilimia% ngapi ya raia wenye furaha na asilimia ngapi ya raia wenye furaha iliyozidi!?....swali hili nawasilisha wizara ya vodacom*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…