[h=3]
[/h]
[h=1]Paypal id ni nini?[/h] [h=3]ID yako ya PayPal ni barua pepe yako ama email address ambayo umefungulia Paypal account. Kwa lugha nyingine Paypal id is your email id ambayo uliitumia wakati ukifungua account Paypal id.[/h] [h=3]Ukiachana na Paypal kutumika kama mfumo au mtandao unaolinda taarifa za kifedha kati ya mnunuzi na muuzaji mtandaoni katika ufanyaji wao wa biashara, lakini Paypal vilevile inamuwezesha mtu kupoke pesa mtandaoni kwa shughuli zote atakazo kuwa amezifanya kwenye mitandao mbalimbali inayolipa, shughuli hizo ni kama kujiunga na affiliates programs, kufanya matangazo ya biashara etc.[/h] [h=3]Kibongobongo pesa zilizopo kwenye account ya Paypal zitatumika tu kununua na kulipia bidhaa nyingine mtandaoni kama vile simu, nguo na other stuffs au kulipia huduma flani kwani hatujafikia hatua ya kuzihamisha pesa hizo kwenda kwenye local bank account.[/h] [h=2]Hatua za kufungua PayPal Account[/h] [h=4]1. Sign Up on PayPal
Watakutumia verification email.[/h] [h=4]2. Verify your email id, kwa kufungua email waliyokutumia.[/h] [h=4]3. verify your Bank account, watakukata hela kidogo ambazo baadae watazirudisha ni kama $1.5 <3000 tzs.[/h]http://chapisha.com/je-unaijua-paypal-id-yako/