Ifahamu Paypal

Ifahamu Paypal

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
485
Reaction score
36
Leo tunazungumzia mtandao maarufu wa kutuma pesa. kupokea pesa mtandaoni, na unaokuwezesha kuwa kufanya biashara za kieletroki kupitia mitandao yakijamii. hapa napenda uelimike zaidi ina wezekana hukuwahi sikia ama uliwahi sikia neno pay pal.Tambua jinsi paypal inavyo fanya kazi, kama mawazo mengi yalivyo,mihimili ya paypal ni rahisi. Account yako ya pay pal nikama ilivyo account ya akiba au akaunti ya hundi.Isipokuwa PayPal imebuniwa maalum kwa mtandaoni, kufanya miamala ya kipesa katika mitandao ya kijamii. Kabla hujafungua PayPal akaunti fikiria kufungua akaunti binafsi ya PayPal sababu haina ada au tozo yakutuma na kupokea pesa.

Baada ya akaunti yako binafsi kuimarika. sasa una weza kabisa kuiwezesha ama kuipandisha na kuwa premier! akaunti na pia kuwa akaunti ya biashara. Ni vizuri ukaiwezesha akaunti kuwa premier au biashara kama utumaji pesa utafikia $2000 au zaidi,kiwango hichi kinategemea kama una akaunti marekani au akaunti ya kimataifa.Pia kunakiwango cha utumaji pesa toka akaunti yako ya paypal hadi kwenye benki yako. Kutambua kiwango cha utumaji pesa bofya eneo la view limits link upande wako wakulia wa salio la akaunti kisha.

Akaunti isiyo na pesa nisawa na koni isiyo na ice cream.inakulazimu uweke pesa kwenyeakounti yako ya paypal kabla hujafanya lolote.
Utaweka pesa kwenye akaunti ya pay kwa. njia tatu. kwa kupokea pesa toka kwa wanachama wengine wa paypal, kwa kukutanisha akaunti yako ya Amana au. ya hundi kwa paypal akaunti na utumie mfumo wa kipesa wa kieletronki (EFD).Ukifanya malipo na paypal unaongeza vyanzo vya mapato kutoka miamala unayo fanya.leo tunaweza ishia hapa.kwanyongeza paypal inatoza 1.7% yapesa unayopata. tukutane wakati mwingine kwa muendelezo
kuweza faham faida zaidi . elimika na mohamed Mkonde na uweze kuwa mjasiriamali wa mitandaoni.
 
Amalinze The Cat,his back will never touch the earth.
 
Back
Top Bottom