Ifahamu Roboat

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Roboat ni mradi wa utafiti uliofanywa ndani ya miaka 5 ili kutengeneza chombo kitachojiendesha chenyewe.

Huko nchini Uholanzi na Chuo cha Amsterdam Institute for Advanced Metropolitan Solutions (AMS Institute) kwa kushirikiana na MIT, Delft University of Technology na Wageningen University of Research iliyogharimu Euro Million 25.

Roboat hii ni boti ambayo ina uwezo wa kujiendesha,kukusanya uchafu baharini kama chupa za plastiki na aina nyingine za taka ndani ya maji, kuvusha abiria na mizigo, kukusanya taarifa mbalimbali ndani ya mji na pia ikiwa nchi kavu inaweza ikatumika kama sehemu ya maduka, mgahawa au bar.

Mnamo mwaka huu mwanzoni Roboat ilizinduliwa kwenye mlango wa bandari ya Amsterdam.
Pia ina uwezo wa kujigawanya na kufanya ukusanyaji taarifa na taka,kutokana na mfumo wa kujiendesha haiwezi kugongwa na meli kubwa sababu ina sensor na inasaidia isigongwe na chombo chochote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…