DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hii ni Hali ya mabadiliko ya ngozi na mwonekano wa mwili pale ambapo unapopata furaha kupitiliza hasa katika penzi jipya.
Hali hii uwapata baadhi ya wapendanao hasa wanapokua ktk penzi jipya na wakionekana ktk furaha sana
Mtu alieathirika na RSS huanza kuota vipele Vidogo kwenye lips mdomoni,ndani ya mdomo, Hadi kwenye ulimi.
Vipele hivi Mara nyingi haviumi Ila vinaleta ubaridi flani Kwa mhusika na Kuna MDA vinatoa majimaji Ila havina athari yoyote kiafya.
Nawasilisha