Ifahamu sayari ya Mars...

Wee jamaa. Inaonesha unapenda sana mambo ya Anga.

Hebu niambie ile sayari inayoonekana inawaka sana kwa mwaka huu January. February na march ni sayari gani kati ya Venus, mars na jupiter kwani inawaka sana mwanga mweupe na inatembea haraka yaa kuanzia saa moja usiku hadi saa nne usiku inakuwa imeshapotea
 
Ile ni Venus Ndugu.
 
Ile ni Venus Ndugu.
Asante sana.

Je nawezaje kutofautisha kati ya Venus na Jupiter kwa kuangalia kutoka duniani wakati wa usiku kwa kutumia macho?

Je Mars inaonekana nyekundu kweli kwa macho?

Je? Mercury inaonekana kwa macho alfajiri?
 
Mzee umekuja kunichora nn!? mimi bado mwanafunzi najifunza, But kwa macho usiku Venus ni sayari inayong'aa kuliko sayari nyingine zote, Ila Jupiter ni sayari ya pili kwa mng'aro angani kutoka kwa Venus wakati wa usiku angani kwa macho ya kawaida.
 
Lengo la elon musk na space X ni kufanya safari za mars kuwa affordable so hiyo $B10 ni bei ya mwanzo tu ila watalii wakiongezeka na bei ya ticket itapungua hadi $ laki 2.
 
Point of correction: Umbali kutoka duniani hadi Mars haupo constant.

Umbali unabadilika kulingana na jinsi hizi sayari mbili zinavyozunguka.

Umbali ulioweka wewe[34M miles] unatokea iwapo dunia itakuwa mbali na jua[Aphelion] na Mars itakuwa karibu na jua [Perihelion]. Lakini makutano hayo hayatokei mara kwa mara bali ni mara moja kila baada ya miaka 60,000.
Dunia na Mars kukutana kwa ukaribu ilikuwa mwaka 2003.

Wastani wa umbali kati ya dunia na Mars ni miali million 141.

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi30u3uroHTAhWCzhoKHVdNCG4QFggXMAA&url=http://www.space.com/24701-how-long-does-it-take-to-get-to-mars.html&usg=AFQjCNF6Y2OwSKOwKIzCBH3xLAH9QbmMUA&sig2=WLc21572QmBBPcizSei-bg
 
Asante kwa Elimu mzee
 
Mzee umekuja kunichora nn!? mimi bado mwanafunzi najifunza, But kwa macho usiku Venus ni sayari inayong'aa kuliko sayari nyingine zote, Ila Jupiter ni sayari ya pili kwa mng'aro angani kutoka kwa Venus wakati wa usiku angani kwa macho ya kawaida.
Kinachonichanganya zaidi ni Venus na Jupiter. Kwenye mitandao wengine wanasema jupiter ndio brightest star. Na wanasema mars ni nyekundu na kila nikijitahidi kuangalia usiku kwa majira tofauti sijawahi kuona Mars.
 
Mzee umekuja kunichora nn!? mimi bado mwanafunzi najifunza, But kwa macho usiku Venus ni sayari inayong'aa kuliko sayari nyingine zote, Ila Jupiter ni sayari ya pili kwa mng'aro angani kutoka kwa Venus wakati wa usiku angani kwa macho ya kawaida.
Inaonekana mkuu unapenda mambo ya anga.....any idea about multiverse?
 
Elon Musk wa spacex still Young nimestaajabu sana na rocket yao nyingine wamerusha ndani ya siku hizi 2 na imefanikiwa kwa kiasi kikubwa tofauti na ya kwanza
 
Mmmh. Mnajia Hadi kuiona zuhura kwa mbali. Mi naonaga nyota tu huko tuuu. Ukifunguka uzi mwngne wa anga au bahaatin naomba mnitag please I'm interested
 
Napata taabu sana maana nasikia kuna watu wanaamini Miungu Kama Mungu Mwezi, Mvua, jua, Maji (wengine husema thunderstorm) n.k nisaidieni ufafanuzi tafadhali.
 
Kama hawajawahi kwenda huko. Hayo mambo wameyajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…