Ifahamu vita iliyodumu kwa muda mfupi zaidi

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA

Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu

Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War"

Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi ya watu 500 walikufa.

Vita hii ilitokea ambapo Uingereza walitaka kuitawala Zanzibar. Lakini kwenye vita hii Zanzibar ilisalimu amri.

Hii ndio ikawa vita fupi zaidi kutokea iliyopiganwa katika ardhi ya Tanzania huko visiwani Zanzibar.
 
Wazee tupeni maelezo ya kilichojiri Zaidi kipindi hiko
 
Ilikuwaje Watu 500 wakafa kwa muda mfupi hivyo?

Ina maana kila baada ya dk moja walikufa Watu 14

Halafu ungetueleza kifupi jinsi picha lilivyoanza na kwisha.
 
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA

Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu

Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War"

Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi ya watu 500 walikufa.

Vita hii ilitokea ambapo Uingereza walitaka kuitawala Zanzibar. Lakini kwenye vita hii Zanzibar ilisalimu amri.

Hii ndio ikawa vita fupi zaidi kutokea iliyopiganwa katika ardhi ya Tanzania huko visiwani Zanzibar.

Ilishaletwa humu kitambo... Hii ipo kwenye Historia za Shule na Historia za Dunia...
 
Shule gani mkuu
 
Kipindi icho Zanzibar ilikuwa Zanzibar kweli kweli mpaka inatunishie misuli muingireza ilhali hatukuwa na chochote! sio saivi, maneno yakitoka Dodoma tu basi Vuga panakuwa kimya! 😀
 
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA

Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu

Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War"

Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi ya watu 500 walikufa.

Vita hii ilitokea ambapo Uingereza walitaka kuitawala Zanzibar. Lakini kwenye vita hii Zanzibar ilisalimu amri.

Hii ndio ikawa vita fupi zaidi kutokea iliyopiganwa katika ardhi ya Tanzania huko visiwani Zanzibar.
Hapa jukwaani upo miaka mingi, Asante kwa kumbukizi
 
Dakika 38???? Haya yalikuwa maandamano!! Na bomu likapigwa katikati ya umati wa waandamanaji?? Watu 500 kufa only for 38 minutes????
 
Back
Top Bottom