Ok,so kabla ya hapo hakukuwahi kutokea vita yeyote ya kikabila wala kikoo iliyoua watu na kudumu muda mfupi zaidi??Vita Hadi na vifo
Kuna vita na vuruguOk,so kabla ya hapo hakukuwahi kutokea vita yeyote ya kikabila wala kikoo iliyoua watu na kudumu muda mfupi zaidi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unaitofautushaje vita yako na vurugu.Kuna vita na vurugu
Sasa hapo nahsi utazungumzia vurugu
Watakuwa walizishwa kwa mpigo bahariniIlikuwaje Watu 500 wakafa kwa muda mfupi hivyo?
Ina maana kila baada ya dk moja walikufa Watu 14
Halafu ungetueleza kifupi jinsi picha lilivyoanza na kwisha.
AiseeWatakuwa walizishwa kwa mpigo baharini
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA
Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu
Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War"
Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi ya watu 500 walikufa.
Vita hii ilitokea ambapo Uingereza walitaka kuitawala Zanzibar. Lakini kwenye vita hii Zanzibar ilisalimu amri.
Hii ndio ikawa vita fupi zaidi kutokea iliyopiganwa katika ardhi ya Tanzania huko visiwani Zanzibar.
Shule gani mkuuVita kati ya Zanzibar na Uingereza, vita fupi zaidi kushuhudiwa duniani
The Anglo-Zanzibar war, ilikuwa vita kati ya Zanzibar na Uingereza iliyotokea Ijumaa ya tarehe 27 August 1896.Hii ndio vita iliyodumu kwa muda mfupi zaidi hapa duniani, vita ilidumu kwa muda wa dakika arobaini na tano, 45 [inagawa machapisho mengine yanasema vita ilidumu kwa muda wa dakika 38...www.jamiiforums.com
Ilishaletwa humu kitambo... Hii ipo kwenye Historia za Shule na Historia za Dunia...
Hapa jukwaani upo miaka mingi, Asante kwa kumbukiziIJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA