Ifahamu "voltage optimizer" na namna inaweza kupunguza gharama ya umeme kwenye jengo au kiwanda,na pia kutunza Mazingira.

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Ntajaribu kueleza kwa lugha nyepesi ili kila mtu afahamu kuhusu voltage optimization.

VOLTAGE OPTIMIZER NI NINI?

Ni kifaa ambacho kinasaidia vifaa vyako vya umeme kutumia nguvu sahihi bila kuzidisha...

Kwa lugha nyepesi tunaweza sema kifaa hiki kinazuia kutumia nyundo kuua mbu,ambaye labda angemuua kwa dawa tu tena wangekufa kwa wingi.

Kwa wataalamu wa umeme tukubaliane kuwa kutumia nguvu kubwa ya msukumo(Voltage) katika kitu kinacho kinahitaji nguvu ndogo tu,husababisha upotevu wa nishati(waste of power). kwasababu kuna nguvu kiasi kikubwa itatupwa bila matumizi(wasted)...ambayo kawaida hugeuzwa kuwa joto (heat)

Japo nguvu hiyo imetupwa bila kufanya kazi ila Tanesco wao hilo haliwahusu..

Mita ya Tanesco yenyewe inakuchaji kwa nguvu iliyotumika na nguvu uliyopotea (Reactive and Wasted power) katika jengo lako..ulichokitupa bila kukitumia utalipa na kile ulicho tumia utalipa....

Hivyo Voltage optimizer inapachika uhitaji sahihi katika system ya umeme ya jengo lako,na kufanya vifaa vyako vikatumia umeme kwa nguvu sahihi na sio nguvu iliyopitiliza nakupelekea wastage of energy.

Kumbuka umeme una kitu kinaitwa masukumo (Voltage),hichi ndicho kinacho ratibiwa zaidi na kifaa hiki ili kukadilia nguvu inayo hitajika kwa kila kifaa chako...

Fahamu kuwa vifaa karibu vyote vya umeme duniani kitu ambacho haviwezi kupambana nacho kirahisi au kujiamulia ni Nguvu ya msukumo wa umeme(Voltage),Voltage ikizidi tu kama hakuna kinacholinda vifaa hivyo...ujue kitakacho tokea ni Boooooooooooooooom....

Ndiyo maana Vifaa vya umeme hulindwa zaidi na over voltage sababu ndio iziraeli mto roho wao.....

Ukweli mchungu ni kuwa mara nyingine nyumba ya mteja huzalisha taka nyingi za umeme (waste of energy) kutokana na kupewa huduma ya umeme wenye taka kutoka kwa msambazaji umeme(Over voltage or undervoltage).

Hivyo vifaa vya mteja vinapojaribu kuchuja taka hizo ili vitende kazi vyema hujikuta vinazalisha taka kiasi kikubwa sababu tu vimepokea umeme wenye taka kutoka kwa msambazaji.

Ila huwezi walaumu Tanesco kwasababu katika sayansi ya kidunia hadi leo umeme unaoingia kwa mteja hauchujwi kwa technology ya akili ya kielectroniki bali wanatumia Transformers ambazo kawaida zile ni hazina ubongo kujua hapa umeme umezidi nipunguze au hapa umeme umepungua niongeze zenyewe zinatenda kulingana na zilivyo umbwa hazina maamuzi.Ndio maana duniani kote hata ulaya na marekani umeme mchafu upo.

Kwasababu hiyo basi jukumu la kuchuja umeme huo limebaki kwa mtumiaji...ndio maana utakuta wengine wanafunga Stabilizer kukabilianana tatizo hilo.

Voltage optimizer ni kifaa cha mchanganyiko wa mifumo ya kielectroniki na umeme mbacho hufungwa katika nyumba kikiwa na lengo la kusawazisha ay kuchuja umeme unao lishwa katika saketi ya nyumba ili kupunguza gharama ya umeme inayosababishwa na umeme uliozidi au umeme uliopungua au umeme mchafu(unsettled electrical power supply)

Umeme unaoingizwa katika jengo lako kama utazalisha taka nyingi za umeme,kwasababu tu ya kiasi kidogo sana cha msukumo(Extremely under voltage) au kiasi kikubwa cha msukumo wa umeme(over voltage)..Basi vifaa vyako vitakua vikiungua mara kwa mara,maisha ya baadhi ya vifaa vyako yatakua "Shortened",na utakua unazalisha hewa chafu inayo dhuru mazingira ya dunia yetu(Carbon emissions)

Voltage optimizer ndio mkombozi wa tatizo hilo na hufungwa mfuatano na sakiti au njia ya umeme ili kuratibu umeme unaofika katika vifaa vya jengo Mkondo wa umeme unapopita katia kifaa cha Voltage optimizer hurekebiswa na kutolewa kwa kiasi ambcho ni rafiki na vifaa vitumiavyo umeme.

Kanuni tatu za voltage optimizer ni

(i) kupunguza nguvu isiyo ya lazima ya umeme inayotumiwa na vifaa vya jengo lako ili kupunguza takataka hivyo kupunguza gharama ya umeme(reduce energy use)
(ii)Kuachia nguvu sawasawa na mahitaji ya vifaa vyako(Monitor power on demand)
(iii) Na uratibu nguvu tendaji(reactive power)

TOFAUTI KATI YA VOLTAGE OPTIMIZER NA VOLTAGE STABILIZER

VOLTAGE OPTIMIZER: Voltage optimizer ni kifaa ambacho kinaratibu mahitaji ya umeme kulingana na taarifa ya saketi kwa uwiano wa Voltage,Current na Resistance ili kutoa umeme stahiki.

VOLTAGE STABILIZER: Voltage stabilizer inapitisha(passive) kiasi cha umeme kwa kiasi ilicho ratibiwa bila kujali taarifa ya saketi pokeaji kama ni 220v itatoa hiyo hiyo throughout.

MASWALI

*Je kila mtu anaweza funga Voltage optimizer kwenye jengo au kiwanda chake?..NDIYO...

*Je nikiasi gani voltage optimizer inaweza kupunguza gharama ya umeme?...Ni kwa asiimia 15 hadi 20% kwa umeme wa East Africa.

*Je kuna umuhimu wowote wa kufunga Voltage optimizer,kama gharama za umeme ni kubwa na mifumo ya umeme ipo sawa?...NDIYO inawezekana upo katika mkondo ambao umeme wake ni mchafu,hivyo utahitaji kifaa hicho.

*Je naweza funga Voltage optimizer hata kama sina tatizo la bili kubwa ya umeme?.....Ndiyo sababu ya usalama wa vifaa vyako na jengo lako lakini pia kutunza mazingira.

,*Je ufungaji wa Voltage optimizer unaingilia mfumo wa saketi ya nyumba yako?......NDIYO kifaa hiki hufungwa mfatano na saketi ya jengo lako.

*Je naweza kufunga Voltage optimizer kwa kifaa kimoja tu ambacho nahisi kinamaliza umeme?...NDIYO..

*Je Voltage optimizer ni bei gani ni Tsh 1,000,000 kwa kila 1kilowatt on cintinuenous use.

*Je Voltage optimizer madukani zipo....Ndiyo ila pia tutakuundia kulingana na uhalisia wa umeme wa jengo lako.

HITIMISHO.

Kabla ya kufungiawa Voltage optimizer jengo lako au kiwanda chako lazima kifanyiwe takwimu ya msukumo wa umeme kwa saa 24,ili kujua ni optimizer ipi itakufaa.

Kwa huduma zote za kiufundi umeme nakukaribisha sana...

*Kufungiwa umeme katika jengo lako au mashine zako.

*Kufanyiwa maboresho ya umeme kwenye jengo lako.

*Ushauri kuhusu umeme

My DM is always open...KARIBU.

Eng. Transistor.
images.jpeg-2.jpg
images.jpeg-3.jpg
mes9.JPG.jpg
 
Attachments

  • ytt.jpg
    ytt.jpg
    71.3 KB · Views: 8
  • TRA.JPG-1.jpg
    TRA.JPG-1.jpg
    35.8 KB · Views: 7
Kwa wataalamu wenzangu wa umeme kama kuna kitu unaweza kuongezea au kusahihisha...Karibuni.
 
Eng. Transistor.View attachment 3043709View attachment 3043711View attachment 3043712
Bado sijaelewa, vifaa vinatumia voltage au current? Nimeuliza kwa sababu enzi za mjerumani niliaminishwa kuwa vifaa hutumia current.
Nitarudi kuthibitisha.
 
Bado sijaelewa, vifaa vinatumia voltage au current? Nimeuliza kwa sababu enzi za mjerumani niliaminishwa kuwa vifaa hutumia current.
Nitarudi kuthibitisha.K
Kifaa kinatumia Current (ambayo ndiyo bidhaa ya umeme kwenye kuendesha kifaa)

Ila hii bidhaa huhitaji nguvu ya msukumo (Voltage)Ili iweze kufikia kifaa na kukilisha....

Nguvu yamsukumo ikiwa kubwa kupitiliza ni sawa na wewe kunywa maji mengi kwa haraka lazima utapaliwa...na mengine yatamwagika si ndio???...that is ..Wasted of bidhaa...hahahaaaa

Maji=Bidhaa kunywa kwa haraka (High voltage)and kumwagika kwa bidhaa ni wasted...

Karibu.

Transistor.
 
Yani katika umeme ngoja nikusaidie kitu Ukisikia voltage maana yake ni msukumo wa chakula kuelekea tumboni..ni ile speed ya kukulisha

Na ukisikia Current ndo chakula chenyewe kinacho enda tumboni na ndicho kinabeba viinilishe.

Na ukisikia Resistance ni size au ukubwa wa koo linalopitisha chakula....

Sasa huyu ambaye anasafirisha chakula (Voltage)ndo mbaya akizidi utapaliwa au kufa kabisa akiwa kidogo utapata utapia mlo sababu anakulisha kiduchu kiduchu.....

So uwiano wa speed ya kula ukubwa wa koo na chakula lazima viwe sawa...sasa hapo ndo unahitaji voltage optimizer !

Transistor

Karibu.
 
Kifaa kinatumia Current (ambayo ndiyo bidhaa ya umeme kwenye kuendesha kifaa)

Ila hii bidhaa huhitaji nguvu ya msukumo (Voltage)Ili iweze kufikia kifaa na kukilisha....

Nguvu yamsukumo ikiwa kubwa kupitiliza ni sawa na wewe kunywa maji mengi kwa haraka lazima utapaliwa...na mengine yatamwagika si ndio???...that is ..Wasted of bidhaa...hahahaaaa

Maji=Bidhaa kunywa kwa haraka (High voltage)and kumwagika kwa bidhaa ni wasted...

Karibu.

Transistor.
Voltage ni msukumo au voltage inahifadhi current, kama msukumo ni vipi betri ya volt 12 ikiisha charge bado inabaki volt 12 ila haiwezi kukiendesha kifaa mpaka tu charge kuongeza current.
 
Battery ya Volt 12 inaisha chaji halafu bado ina volt 12...????!!!!!!!

Hiyo battery sio nzima......hahaha hahaha
 
Bila kuwa na voltage Current utaipata wapi?

Fahamu voltage ni msukumo na Current ni mtiririko wa electron katika sakiti,sasa utapata wapo mtiririko kama hizo electron hakuna kinacho zisukuma??Ili upate Current unahitaji Voltage....

Transistor
 
Battery ya Volt 12 inaisha chaji halafu bado ina volt 12...????!!!!!!!

Hiyo battery sio nzima......hahaha hahaha
Betri ikipungua kiwango chake cha voti hupoeza uwezo wake wa kuchaji, kama haujui mambo ya elektronik subiri ufundishwe badala ya kuwa mjuaji.
 
Do aisee....

battery ya volt 12,ikiisha chaji haiwezi kubaki na Volt 12,lazima itapungua asilimia 15 hadi 25 ya volt hiyo inaitwa discharge voltage.

Battery yoyote ambayo imeisha chaji lazima kuna certain amount ya volt hupungua...

Sasa kama ina isha charge na inabaki na full charge voltage value hiyo ni battery ni mbovu.

Battery lazima iwe na Charging voltage Value na Discharging voltage value,haiwezi kubakia constant

mimi nachojua battery standard ya Volt 12 Ikiwa full charge huwa na 13.2V na ikiwa discharged inakuwa na 11.5V
 
Back
Top Bottom