Car4Sale Ifahumu na kununua Subaru Imprezza

rasachri

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
145
Reaction score
35
Salam kutoka Kimomwe Motors Tanzania Limited WAAGIZAJI WA MAGARI.

Siku za hivi karibuni, gari hii imekua kimbilio kwa wenye uhitaji wa gari yenye uimara na nguvu lakini inayotumia mafuta kidogo. Injini yenye Cc 1500 inayoenda kilomita 16 kwa lita moja ya mafuta. Imetulia sana barabarani inapokua katika mwendo kasi, na vipuli vyake ni vingi.

Gari hizi kwa muundo ni kama Toyota IST. Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.

KIMOMWE MOTORS- Waagizaji wa Magari bora na nafuu nchini Tanzania

BG509914_b58370.JPG
BG509914_cf10bc.JPG
BG509914_e4738d.JPG
BG509914_3631aa.JPG
BG509914_8cd549.JPG
BG509914_d8202f.JPG
BG509914_24dfc6.JPG
BG509914_b2168c.JPG
BG509914_e1b3ac.JPG
 
Asante mkuu, mi navutiwa na kile kidogo chake chake.... Subaru Impreza Anesis 1500cc.
Naitia mkononi kwa bei gani..?
 
Salam kutoka Kimomwe Motors Tanzania Limited WAAGIZAJI WA MAGARI.

Siku za hivi karibuni, gari hii imekua kimbilio kwa wenye uhitaji wa gari yenye uimara na nguvu lakini inayotumia mafuta kidogo. Injini yenye Cc 1500 inayoenda kilomita 16 kwa lita moja ya mafuta. Imetulia sana barabarani inapokua katika mwendo kasi, na vipuli vyake ni vingi.

Gari hizi kwa muundo ni kama Toyota IST. Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.

KIMOMWE MOTORS- Waagizaji wa Magari bora na nafuu nchini Tanzania

View attachment 1209725View attachment 1209726View attachment 1209727View attachment 1209728View attachment 1209729View attachment 1209730View attachment 1209731View attachment 1209732View attachment 1209733
Gari iko chini sana hii...
Gari ni AUDI A3 2.0 td ya 5 doors.
 
Hii Gari ni toleo moja na hii hapa chini?
IMG_20190917_221843.jpg
 
Umejibu vizur sana comment za wadau ngoja nitoke mgodin nitakucheck boss
Shukrani sana boss. Tunawajibika kuwapatia huduma bora wateja maana bila wao hatuwezi kutimiza malengo yetu ya kua wakubwa zaidi katika ukanda huu kwa siku za badae
 
Asante mkuu, mi navutiwa na kile kidogo chake chake.... Subaru Impreza Anesis 1500cc.
Naitia mkononi kwa bei gani..?
Kama mimi mkuu, hii naikubali sana though sijui kiundani kuhusu perfomance yake
 
Mkuu mbona picha ni za befoward, kwa jinsi nilivyoelewa nikiagiza kwako, wewe unaenda befoward kuagiza na ili upate faida utaongeza gharama sasa si bora niende befoward moja kwa moja kuliko kupitia kwako middleman? Au inakuaje hapo nieleweshe kama nimeelewa tofauti.
 
Subaru kama IST?

Inawezekana you mean well ila mamamamamamaeee umechemka katika kufananisha.
 
Kwa cc1500 sio tatizo sana maana ulaji wake wa mafuta utakua ni kawaida! Subaru zilikumbiwa kwa sababu mbili 1.ulaji wa mafuta 3.spare
Hapo kwenye ulaji wa mafuta ushasolve tatizo. Hapo kwenye uoatikanaji wa spare na bei zake ukoje kwa sasa?
 
Ndugu.....cc 1500 ulaji wa kawaida.... afu zikakimbiwa kwa ulaji wa mafuta
 
Back
Top Bottom