Inaanzia 11m boss wangu, karibu sana tukuhudumieAsante mkuu, mi navutiwa na kile kidogo chake chake.... Subaru Impreza Anesis 1500cc.
Naitia mkononi kwa bei gani..?
Inaanzia 11m boss wangu, karibu sana tukuhudumie
Hii kwenye picha inaanzia 12m bossNa Kama Hii Ya Kwenye Picha Tunaanzia Ngapi Mkuu
Inaanzia 11m boss wangu, karibu sana tukuhudumie
Gari iko chini sana hii...Salam kutoka Kimomwe Motors Tanzania Limited WAAGIZAJI WA MAGARI.
Siku za hivi karibuni, gari hii imekua kimbilio kwa wenye uhitaji wa gari yenye uimara na nguvu lakini inayotumia mafuta kidogo. Injini yenye Cc 1500 inayoenda kilomita 16 kwa lita moja ya mafuta. Imetulia sana barabarani inapokua katika mwendo kasi, na vipuli vyake ni vingi.
Gari hizi kwa muundo ni kama Toyota IST. Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.
KIMOMWE MOTORS- Waagizaji wa Magari bora na nafuu nchini Tanzania
View attachment 1209725View attachment 1209726View attachment 1209727View attachment 1209728View attachment 1209729View attachment 1209730View attachment 1209731View attachment 1209732View attachment 1209733
Hii Gari ni toleo moja na hii hapa chini?Salam kutoka Kimomwe Motors Tanzania Limited WAAGIZAJI WA MAGARI.
Siku za hivi karibuni, gari hii imekua kimbilio kwa wenye uhitaji wa gari yenye uimara na nguvu lakini inayotumia mafuta kidogo. Injini yenye Cc 1500 inayoenda kilomita 16 kwa lita moja ya mafuta. Imetulia sana barabarani inapokua katika mwendo kasi, na vipuli vyake ni vingi.
Gari hizi kwa muundo ni kama Toyota IST. Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.
KIMOMWE MOTORS- Waagizaji wa Magari bora na nafuu nchini Tanzania
View attachment 1209725View attachment 1209726View attachment 1209727View attachment 1209728View attachment 1209729View attachment 1209730View attachment 1209731View attachment 1209732View attachment 1209733
Tofauti ni miaka, ile niliyoweka ni ya 2009, hii ni ya 2010, hayo mengine ni marembo mfano roof spoilers na sports rimHii Gari ni toleo moja na hii hapa chini?
View attachment 1210140
Sawa bossGari iko chini sana hii...
Gari ni AUDI A3 2.0 td ya 5 doors.
Maana yake ni kua 11m ni gharama za chini kabisa, halafu itapanda kutegemea mwaka wa gari na kilomitaUna maana gani, inaanzia kisha inapanda au kushuka...?
Shukrani sana boss. Tunawajibika kuwapatia huduma bora wateja maana bila wao hatuwezi kutimiza malengo yetu ya kua wakubwa zaidi katika ukanda huu kwa siku za badaeUmejibu vizur sana comment za wadau ngoja nitoke mgodin nitakucheck boss
Kama mimi mkuu, hii naikubali sana though sijui kiundani kuhusu perfomance yakeAsante mkuu, mi navutiwa na kile kidogo chake chake.... Subaru Impreza Anesis 1500cc.
Naitia mkononi kwa bei gani..?
Kama mimi mkuu, hii naikubali sana though sijui kiundani kuhusu perfomance yake
Ndugu.....cc 1500 ulaji wa kawaida.... afu zikakimbiwa kwa ulaji wa mafutaKwa cc1500 sio tatizo sana maana ulaji wake wa mafuta utakua ni kawaida! Subaru zilikumbiwa kwa sababu mbili 1.ulaji wa mafuta 3.spare
Hapo kwenye ulaji wa mafuta ushasolve tatizo. Hapo kwenye uoatikanaji wa spare na bei zake ukoje kwa sasa?