Karemboo
Member
- Dec 17, 2023
- 23
- 23
Wapendwa nimeanzisha hii thread kwa yeyote mwenye information kuhusu kuhusu hiyo scholarship inayotolewa na IHI kwa wale wenye admission za masters of public health chuo cha nelson mandela, mana mimi nina admisssion ya 2024/2025 na niliomba samia scholarship ila majibu bado na nimesikia ipo hiyo scholarship inayotolewa na IHI ila kila nikifatilia sipati info zake, mwenye chochote anayefahamu pls, myb kuhusu lini dirisha la maombi linafunguliwa, vigezo, vitu vya kuzingatia etc.