never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
- Thread starter
-
- #241
We acha tuYaani watu wanatapeli hadi buku mbili wakati sie humu kuna wadau wametupa huduma kama yako kwa elfu 8 na nilimtumia hela kabla ya malipo.Uzi wako ningeuona mapema ningekutafuta unipe huduma mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuweke masihara pembeni ila ukweli Tigo huduma zenu ni mbovu kabisa nahisi huko mtakuwa mmejazana ndugu tu msiokuwa na ujuzi wowote.Mbona natukanwa hv!!! Wahusika mpo wapi?
Naamini Jf ni sehem ya mtu kutoa maoni na kuchanguia kwa uhuru na uwazi,iweje ww unitukane na kunizalilisha kiasi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
TapeliUYU JAMAA KANITAPELI PESA YANGU NAMBA YAKE NI 0655228313View attachment 1001876
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kamilisha hilo neno Sema laini za Tigo na si kusema Tigo only sie wengine watu wa pwani huku ukisema tigo kidogo linatupa mushkeli
daah vijana wadogo,mapicha ya kula mahotelini halafu wanatapeli buku 2,? hahahahaaUYU JAMAA KANITAPELI PESA YANGU NAMBA YAKE NI 0655228313View attachment 1001876
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu akipigiwa apokeidaah vijana wadogo,mapicha ya kula mahotelini halafu wanatapeli buku 2,? hahahahaa