Ifanyike sensa ya simu humu JF

Hii itatusaidi kujua simu zipi zinatumika sana na kupata maoni ni kwa nini zipi zinapendelewa sana na zipi ni bora

Sent from my SM-J 9using JamiiForums mobil
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu CMU yko inapatikana wapi hapa bongo bht mbaya!!!
 
Wale wa Microsoft tule bata
Kwa kwenda mbele

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
Ilikuwepo long time ago lakini

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Au mkuu ujui maana ya sensa ? Tuanzie hapa sensa ni nini ?
 
Umeprove kwamba uko beyond ordinary ulimbukeni.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Duh ila ukitaka unaondoa hiyo kwenye setting za simu

Sent from my SM-J710GN using JamiiForums mobile app
 
Kwa nyuzi kadhaa nilizozitembelea hapa JF naona hii ndio Habari ya Mujini.

Hii kitu imeleta gumzo kubwa sana hapa JF.

Maana naona Wadau wanashindana nani zaidi
 
Ilikuwepo long time ago lakini

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
haka kamsemo kanakuwa maarufu sent from my sumsung-S8 using jamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…