IFFHS: Yanga yaicha mbali Simba takwimu za kimataifa 2024

IFFHS: Yanga yaicha mbali Simba takwimu za kimataifa 2024

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.

Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.

Orodha hiyo Klabu kutoka Kaskazini mwa Bara la Afrika zimeendeleza ubabe kutokana na ubora wao na kushikilia namba 1 mpaka 7.

Mwaka huu unaiona Simba na Yanga zikimaliza nafasi ya ngapi?

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_
1737537832094.jpg
 
#MICHEZO: Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.

Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.

Orodha hiyo Klabu kutoka Kaskazini mwa Bara la Afrika zimeendeleza ubabe kutokana na ubora wao na kushikilia namba 1 mpaka 7.

Mwaka huu unaiona Simba na Yanga zikimaliza nafasi ya ngapi?

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_View attachment 3210009
Hata ALGER kaachwa mbali na yanga
 
😂😂😂😂😂
Hizi takwimu za vichochoroni tuliamua kuachana nazo na wala hatuzitumii kuji mwambafy.

Kuna hawa African zone ambao hata yeye anawekaga takwimu zao, juzi hapo wametoa takwimu ambazo zinaonesha Simba yupo top 3.

Lakini kwasababu tunajua sio vyanzo rasmi vya CAF hatukuona kama ni kitu cha kuvimbia
Screenshot_20250122-124830.png
 
Back
Top Bottom