IFFHS: Yanga yaicha mbali Simba takwimu za kimataifa 2024

Nyie hamkomi Tu na vijitakwimu vyenu vya kuokoteza huku Side akiipeleka Timu shimoni
 
Wana Simba hawaamini wanachokiona
topolo kwenye soccer la africa vyombo vilivy rasmi ni CAF & FIFA. IFFHS ni wajinga wenzenu wa mtandaoni. hao jamaa ndo walisemaga Brasileirao serie A ya Brazil ndo league namba 1 kwa ubora duniani alaf EPL ya 26... kuwa na akili hata kidogo na sio kubaki na mwiko nyuma pekee
 
Na kuna hii list ya CAF wenyewe ikionyesha timu bora za mwaka 2023 / 2024.

  1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
  2. Esperance (Tunisia) – 61 points
  3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
  4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
  5. Zamalek (Egypt) – 48 points
  6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
  7. Simba (Tanzania) – 39 points
  8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
  9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
  10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
 
Ligi ya Tanzania ya 4 kwa ubora Africa kwa mujibu CAF, lakini kocha wa yanga sc, yeye anasema ligi haina ubora nadhani jibu hapo ni kwamba yeye ndiye Hana ubora hata kutambua Msonda kwamba uwezo umeshuka hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…