Ifike hatua niachwe tu!

Madem wa aina hii wanafake sana life.. kwa hiyo mizinga mpaka ifike mwezi Wa sita ni bola ufanya maamuz magumu
 
Ndo maana mimi sipendi kuchati kwakweli huwa naboeka haraka kuchati na mtu asojua kupangilia sentensi utasikia nambiye,xawa tnx hapo ndo huwa sijibu sms
Bora hao wanachanganya S na X, kuna hawa wengine... Ulitoka dakika kumi tu ukaacha simu hapo mezani, kurudi unakuta missed call nane yaani wastani wa calls 1.25 kwa dakika. Unaona hii itakuwa urgent unamtumia text huku mawazo kibao na stress zinakuvuruga, Kuna ishu gani huko?

WEWE: Hello...
YEYE: Mambo
WEWE: Poa Sana, niambie!
WEWE: Shwari, mbona ulikuwa hupokei simu
WEWE: Nilitoka kidogo.... Nambie!
YEYE: Kimya kama dakika kumi hivi
YEYE: Mbona upo kimya....
WEWE: [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujua elimu yake na miaka yake kama hautojali
Miaka 28 (hili nina uhakika nalo hasa nikizingatia uchakavu wa injini, rejeta, pia mileage sio ya kitoto ila isingekuwa mizinga yote hayo yanavumilika) kuhusu elimu anasema ana diploma ishu za tourism (kuhusu hili Sina uhakika, kweli mwenye diploma anaweka X kwenye S kweli?)

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…