Ifike hatua niachwe tu!

Ahaaaaahaaaaaahaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Xaxa bebi cio vixuri[emoji16][emoji16]
 
Mwanzoni nilisema nimvumilie tu nitambadilisha ila naona mwenzagu atatunza misingi yake ya uandishi

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hawabadiliki, hata mimi kuna kamoja nlikuwa nako kakaanza kupenda usista duh.
Mizinha yakw siyo ya nchi hii. Kila simu moya kanataka, kila fashion kanataka, na kana demand over kameniwekesha pesa, yani kangekuwa na mwanasheria kangekuwa kanatuma demand note.

Nikaona isiwe tabu nikawa kakiomba hata lak tano mimi jibu usijali utapata, lakini situmi hata ten.
Kanaongea wee halafu kanaomba sijui simu, mimi nakambia usijali utapata tu hilo tu.

Kalichoka kenyewe, na nikakapotezea huko mbali. Kakawa kanipa spokei, kaanza tuma msg nikakablock.
 
Mvumilie kwanza huenda atabadilika.
 
Haki nimecheka balaa, ngoja nikuitie mzabzab Anaweza kukushauri namnaya kuachana na hiyo mbususu
 
Dah wabongo bana dah,yani starehe mmeifanya kama ugonvi.
Kwani ukipiga kimoja chali ukaridhika kuna shida gani.
Tatizo si kupia kimoja bali hata akipiga hizo 3/4 atarejesha vipi virutubisho na nguvu alizopoteza baada ya starehe au ndiyo kwaaanza ataenda kushindia mihogo iliyokaangwa na kachumbali akishushia na maji?
 
Imenikumbusha Miaka ya nyuma sana

Nlkua na kabint ka chuo,
Ukishinda nae sikU nzima utatajiwa mahitaji yasiyopungua pesa taslimu million 1.

Ukitembea na barabarani, kila kitu kizur anakitamani.

Kama anashida,
ukituma kuanzia laki ndo atasema asante.

Ukituma chini ya hapo Ata Asante upewi.

Nlipomwambia iyo tabia sitaki,
Akachukia eti
"Sasa shida zangu nsipokwambia wewe ntamwambia nani, Kama vipi TUACHANE"

Nkamjibu "POA"
 
Elimu za kuunga unga hata hiyo diploma ukute hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…