Ifike Mahala ajira zote serikalini zitangazwe wazi wazi kama wafanyavyo za ualimu

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini..
Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
 
Zinatoka kila siku wewe sema uelekezwe pa kusipata..
Tembelea ajira portal utakutana nazo sana huko.
 
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini..
Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
Duh muone huyu ajira zote zinatangazwa labda kama hujui zinatangazwa wapi sema uelekezwe tra ndo wanaongoza kwa kutangaza ajira kwa uwazi na kuajiri watu wengi.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya
Mkuu, hizo ni Ajira zinazotolewa kwa Kundi kubwa la Watu. ndio maana unazisikia sana. ila kila kazi huwa inatangazwa.

Ajira za Walimu na Afya huwa hazina INTERVIEW, hizo huwa wanachagua wenyewe kwa kuangalia vigezo. Kazi zao nyingi ni ziko Specific sana.

BUT Hizi kada zingine hazipo Specific, kazi moja inaweza kufanywa na watu waliosomea Course tofauti.
Mfano kazi ya ICT Officer wa TRA. inaweza kufanywa na aliyesomea Computer Science, ICT, Computer Engineer, Software Engineer, CIS, Telecom Engineer nk.
 
Back
Top Bottom