Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Zinatoka kila siku wewe sema uelekezwe pa kusipata..Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini..
Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
Wakipata utawasikia wanaulizia bar zenye bia tamuTatizo la watu kama mtoa mada wakipataga kazi tu hutowaona wanaandika nyuzi za hivi.
Hahahaha njaa mbaya sana hapa wanajifanya wazalendo........Wakipata utawasikia wanaulizia bar zenye bia tamu
Duh muone huyu ajira zote zinatangazwa labda kama hujui zinatangazwa wapi sema uelekezwe tra ndo wanaongoza kwa kutangaza ajira kwa uwazi na kuajiri watu wengi.Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini..
Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
Mkuu, hizo ni Ajira zinazotolewa kwa Kundi kubwa la Watu. ndio maana unazisikia sana. ila kila kazi huwa inatangazwa.Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya