Ifike mahala tijivunie chetu.... Diamond ni Almasi Africa..

"Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa cna '' baila baila asee diamond ni ny.. ko hana mpinzani
 
zaidi ya uzuri wa video na uimbaji kiswahil wa omarion ...sijaona cha maana katika hiyo nyimbo ...ngoma ina melody mbaya zilizokosa mvuto "" yaani hakuna kitu kabisaaa ....kitakacho mbeba Jamaa ni jinsi anavyojua kuzifanyia promo nyimbo zake lkini sio uzuri wa nyimbo ""
 
Chuki kali ka hii kwa mwanaume mwenzio....

Ya nini !??

Msnge wewe....

Diamond made it aall thheee way from zero to top..

Chuki hizi za nini!??

Amekuja omba ugali kwenu!??

Ametoka na mkeo!??

Hivi unajua watu wangapi wako nyuma yake...!!?
Hivi unajua Di analipa watu mshaharA!

Acha wivu wa kipumbavu.... Mpumbavu wewe. hearly
 
Tokea chemistry ya Dimond na Davido..

Chemistry ya Dimond na Omarion ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…