Marahaba kwa niaba yake, ntampa nikienda camp nouMkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess
Tulijua tu utakujaNi vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Mie shabiki wa Man u sipingiNgoja waje mashabiki wa Man u...watapinga kwa nguvu zote.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji375] [emoji375] [emoji375]Kiroboto himself... once again Messi Goal la 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkaona Cr7 anarusha mikono hewani kama Traffic pale Ubungo mataa
Mpira siku hizi umekuwa kama table tennis au riadha tunalinganisha ubora wa mtu kwa kuangalia World Cup pekee, vingenevyo wasingekua wanabadilishana mchezaji bora wa Ulaya na CR7 kila mwakaHivi hata World Cup Final kati ya Messi na Cr7 nani kafika mara kibao na nani hajafika kabisaa?
make kufika tu ni ishara tosha ya ubora wako.
Tangu anaanza soka 2005 tulitangua umuhimu wake..
Hana kelele, lawama wala majivuno.... yupo timam sana huyu raia
Angekuwa ndo yule bishoo wa madeira kapasuliwa mdomo angelalama mpaka dk 90 au angeomba kutoka kwasababu receiption imeharibika.
mess ni mtu wa kutengenezewa kisha yeye anamalizia, hahangaiki kama ronaldo hiyo ndio tofauti yao ninayoionaKwa nilichokiona jana, mess ni habari ingine kabisa. Anaujua mpira kwelikweli. Barcelona kama tim inayumba lakini sio mess.
Ni mtazamo kama huu ndio unakuziba usione ukweli wa mambo.Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Mpira unahadithiwa au?mess ni mtu wa kutengenezewa kisha yeye anamalizia, hahangaiki kama ronaldo hiyo ndio tofauti yao ninayoiona
Hata Cleopatra hakupendwa na wanaume wote, nchini kwake kwenyew hapendw na mashabiki wa soka sembuse wew kutoka tanzagizaMkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess