Ifike mahali Trafiki muone aibu

Ifike mahali Trafiki muone aibu

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Mimi najua serikali haijawahi kulala lakini mbona kuna mambo ya msingi sana hua yanazembewa lakini hili la jamaa hawa kukaa sa kumi na moja alfajir eti kuvizia anaepita na taa nyekund, aaaah sio kweli aisee.

Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti Mataa ni shiiida.

Screenshot_20210718-140626.jpg
Screenshot_20210718-140619.jpg
 
We Mzee Umekuja huku Kutafuta supporters Wa Kuvunja Sheria..... ! Taa Nyekundu siku zote inakutaka Usimame...!!Acha Ubishi.
 
traffic na madereva wa daladala ni pipa na mfuniko. ni kupeana tu . simama barabarani uniambie daladala gani nzima. zote karibu ni mbovu cha ajabu mabasi ya mikoani lazima yachekiwe
 
Mimi najua serikali haijawahi kulala LAKINI mbona Kuna Kuna Mambo ya msingi saaaana hua yanazembeeeewa LAKINI hili la jamaa Hawa kukaa sa kuminamoja alfajir eti kuvizia anaepita nataa nyekundu aaaah sio kweli aisee Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti mataa ni shiiida.

View attachment 1858267View attachment 1858269
Samia ni rais Bora Sana anapambania haki na sheria sema vilaza wa chadema wanataka kumtumia kisiasa na yeye ameshashitukia anawapa haki Yao

System ya Tanzania iko hivyo Kama upinzani wasipojipambanua kufuata sheria watalia miaka yote

Msikie kilaza huyu hawa wanakiwa kuwa barabarani muda wote 24hrs ,au umetoka kijijin moshi leo

USSR
 
Sheria ya taa nyekundu haiangalii muda, ni masaa 24.....kama afande akikulia timing alfajiri si tatizo lake maana yeye anasimamia sheria.
 
Hyo mbona kawaida huku hua wanachukua
Mchana kweupe konda anashuka
Anampa gari inasepa
 
Mimi najua serikali haijawahi kulala LAKINI mbona Kuna Kuna Mambo ya msingi saaaana hua yanazembeeeewa LAKINI hili la jamaa Hawa kukaa sa kuminamoja alfajir eti kuvizia anaepita nataa nyekundu aaaah sio kweli aisee Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti mataa ni shiiida.

View attachment 1858267View attachment 1858269
TII SHERIA BILA SHURUTI. Wacha wakupige faini hadi uheshimu taa nyekundu hata Kama ni usiku.

Ajali nyingi za usiku kwenye makutano chanzo ni kutokuheshimu taa nyekundu
]
 
Samia ni rais Bora Sana anapambania haki na sheria sema vilaza wa chadema wanataka kumtumia kisiasa na yeye ameshashitukia anawapa haki Yao

System ya Tanzania iko hivyo Kama upinzani wasipojipambanua kufuata sheria watalia miaka yote

Msikie kilaza huyu hawa wanakiwa kuwa barabarani muda wote 24hrs ,au umetoka kijijin moshi leo

USSR
Hii sio issue ya KISIASA mkuu naona umeathirika na SIASA za Tanzania tunajafili Mambo ya MAENDELEO na KUONDOA kero za kiboya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya taa nyekundu haiangalii muda, ni masaa 24.....kama afande akikulia timing alfajiri si tatizo lake maana yeye anasimamia sheria.
Nihatar Sana kwa uhai wao akisimama ukimfuata ukisogea kwenye dirisha akikushoot alfajir Nani atakufukuzia ?

Back
Top Bottom