Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Sasa hiyo ndio dawa?Hujui kama ajali nyingi hutokea usiku hadi alfajiri??
Wasipofanya kazi wavivu, wakifanya kazi wana kihere here,
#Tii Sheria bila Shuruti#
We Mzee Umekuja huku Kutafuta supporters Wa Kuvunja Sheria..... ! Taa Nyekundu siku zote inakutaka Usimame...!!Acha Ubishi.
Siokweli Soma SHERIA za barabaran utajuaWe Mzee Umekuja huku Kutafuta supporters Wa Kuvunja Sheria..... ! Taa Nyekundu siku zote inakutaka Usimame...!!Acha Ubishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saa 11 alfajiri barabara hazina foleni, hapo sisimami labda wapige risasi juu.
Samia ni rais Bora Sana anapambania haki na sheria sema vilaza wa chadema wanataka kumtumia kisiasa na yeye ameshashitukia anawapa haki YaoMimi najua serikali haijawahi kulala LAKINI mbona Kuna Kuna Mambo ya msingi saaaana hua yanazembeeeewa LAKINI hili la jamaa Hawa kukaa sa kuminamoja alfajir eti kuvizia anaepita nataa nyekundu aaaah sio kweli aisee Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti mataa ni shiiida.
View attachment 1858267View attachment 1858269
TII SHERIA BILA SHURUTI. Wacha wakupige faini hadi uheshimu taa nyekundu hata Kama ni usiku.Mimi najua serikali haijawahi kulala LAKINI mbona Kuna Kuna Mambo ya msingi saaaana hua yanazembeeeewa LAKINI hili la jamaa Hawa kukaa sa kuminamoja alfajir eti kuvizia anaepita nataa nyekundu aaaah sio kweli aisee Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti mataa ni shiiida.
View attachment 1858267View attachment 1858269
AsanteNaunga mkono Trafiki kuhakikisha tunafuata sheria barabarani lakini askari wa Vingunguti mataa wale wako kutafuta pesa tu!!
Hii sio issue ya KISIASA mkuu naona umeathirika na SIASA za Tanzania tunajafili Mambo ya MAENDELEO na KUONDOA kero za kiboyaSamia ni rais Bora Sana anapambania haki na sheria sema vilaza wa chadema wanataka kumtumia kisiasa na yeye ameshashitukia anawapa haki Yao
System ya Tanzania iko hivyo Kama upinzani wasipojipambanua kufuata sheria watalia miaka yote
Msikie kilaza huyu hawa wanakiwa kuwa barabarani muda wote 24hrs ,au umetoka kijijin moshi leo
USSR
Nihatar Sana kwa uhai wao akisimama ukimfuata ukisogea kwenye dirisha akikushoot alfajir Nani atakufukuzia ?Sheria ya taa nyekundu haiangalii muda, ni masaa 24.....kama afande akikulia timing alfajiri si tatizo lake maana yeye anasimamia sheria.
Nikiwa hapohapo kunagar ilipita nataanyekundu alisimamisha haikusimama anaehitaji hyo video alete namba pm..nimtumieSaa 11 alfajiri barabara hazina foleni, hapo sisimami labda wapige risasi juu.