Ifike mahali tujiulize tatizo ni nini pale Azam

Mashabiki wengi wa Simba tuliishia kushabikia ilala....
( kulikuwa na wachezaji wengi wa simba).
Ilikufa nadhani tatizo ni wadhamini.
Nadhani shida sio udhamini.. iliigubika nyota ya premier...
 
Azam kuna wachezaji watatu wamewasimamisha kuchezea timu yao kisa utovu wa nidhamu halafu ni wa wachezaji muhimu kabisa

Mudathir Yahya
Aboubakary Salum
Aggrey salum
 
Azam kuna wachezaji watatu wamewasimamisha kuchezea timu yao kisa utovu wa nidhamu halafu ni wa wachezaji muhimu kabisa

Mudathir Yahya
Aboubakary Salum
Aggrey salum
Tunakuza Mpira [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati wachezaji na wanazi wa Simba na Yanga ndio wazee wa sabotage kwenye Mpira wa Tanzania...

Yaani timu mtahangaika kuipeleka ligi kuu, ikifika tu wanakuja Hawa jamaa, na sijui influence huwa inatokea wapi.. wakiingia tu they will run the team to ground...

Fixing matches for the gain ya usimba na uyanga... Premier ni maigizo matupu na ujinga kwa ukuaji wa soka letu
 
ukikaa ukifikiria ,nikwel simba ma yanga zinaharbu mpra wa bongo.
 
ukikaa ukifikiria ,nikwel simba ma yanga zinaharbu mpra wa bongo.
Toka watushushie kahama united sitaki tena ushabiki wa Mpira wetu.. wakitaka warejeshe taifa Cup... that...am all for it.
 
Nope , kabla ya kuwatoa wasomali kwenye shirikisho walihidiwa us dollars 10,000(team nzima)imagine kwa team nzima yaani milioni 23 tu...sasa hela ilivyotoka viongozi wakawa wanataka wao na benchi la ufundi wawepo kwenye mgao ila Agrrey, Sure boy na Mudathir wakakaza kukataa wakasema hela yenyewe ndogo ni ya wachezaji tu SO WAKALA HIYO ADHABU
 
WAMEKUNJIANA
HATARI NA ROBO
 
aibu sana , simba walikuala ma bonus ya kufa mtu champions league hawa wanapewa milioni 23 kugawana team nzima bado hapo kuna viongozi mate yanawatoka tena
Huu mpira hauwezi kwenda mpaka timu ziwe huru kutoka kwa magaidi ya mpira..kikundi cha madalali wachache pale kariakoo.

Hizi timu ni vikoba vyao... Wanavitumi kwa namna inayowanufaisha wao wapambe na washirika wao... Na wametengeneza na washirika wengine. Kwenye media ku-fabricate grandeur ya viti vya kijinga na vya kawaida kabisa...

Role ya coach imekuwa diminished to nothing... Halafu wasema hovyo ndio wamepewa microphone for what!? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Duniani kote tunawasikia macoach wakizungumza maana hii sio biashara ya kitchen party.. hii ni utaalamu.. anakuja msemaji ..my foot..

Watanzania.. basi tu
 
Tunaweza kulaumu au kuongea mengi lkn kubwa zaid ni usajili wao wanaofanya ,na ubora wa simba au yanga nao unachangia mfano azam anaweza kusajili sawa sawa akaona apa safi tatzo linakuja simba au yanga na yeye unakuta amesajili vzur zaid ya uyo azam mfano mzur mwaka huu azam amesajili wachezaji wengi tu lkn bado anakuta ana kingiki cha yanga so ata kama simba ataukosa ubingwa msimu azam hawez kuupata utaenda yanga
 
Shida viongozi wa club nyingi Tanzania wanatoka kwenye kaclub kadogo ka usimba na uyanga... Sitashangaa Hata hapo azam utawakuta ..
Na sabotage inafanyika kuanzia kwenye usajili all the way through.
 
Hao wala sio kosa lao hilo....
Ni maswala ya kifedha.
 
Taifa cup naimiss sana, i was too young but i loved it, through radio Tanzania but u kno what awesome to recall the Big man Jim Mored, Tiger FC ya Bahati Mwaipopo Kitasa.
 
Hao wala sio kosa lao hilo....
Ni maswala ya kifedha.
Yaani matatizo yanakuwa makubwa mkiwa na udhamini... Na sio mkiw hakuna udhamini!?

Ukifuatilia usajili na management ndio utajua... Most of these teams ni victim sema hawajajijua tu
 
Kumetokea mgogoro wa kugombania dola elfu kumi kayi ya wachezaji na benchinla ufundi,sasa wachezaji wanegoma na hivi karibuni watafukuzwa wachezaji 3

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Azam Ni timu isiyo na presha yoyote kutoka nje uwanja km ilivyo kwa Simba na Misukule SC

Wachezaji wao wamerelax Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…