Ifike mahali tuseme inatosha! Inashindikana vipi kutoa uraia pacha?

ThisisDenis

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
162
Reaction score
139
Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumiza mno.

Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.

Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
 
Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vp kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno. Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa. Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele plz naomba tusaidiane.
Sawa kabisa ni jambo muhimu tulipush mbele.
 
Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.

Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.

Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Naunga mkono.
 
Kwa ujengaji wa hoja kama huu wa kwako, siamini kama jambo hili litakubalika hivi karibuni.
 
Hivi mnaotaka uraia pacha mnataka nyinyi kama Watanzania serikali iwaruhusu kuchukua uraia hizo nchi nyingine na mbaki na uraia wenu wa Tanzania au mnataka pia raia wa nchi nyingine wanaotaka kupata uraia wa Tanzania nao wapate uraia huku pia wakiendelea na uraia wa nchi zao yaani yeyote akitaka kuwa raia wa Tanzania aupate tu?
 
Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.

Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.

Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Serikali yetu inaogopa Uraia wa nchi mbili wakati majirani zetu Wa-Kenya wanatumia uraia wa nchi mbili. Kazi kweli sisi Wabongo tupo nyuma kwa kila kitu cha Maendeleo.
 
Uraia pacha una faida gani?

Nini utafanya ukiwa raia wa Tanzania & Kenya ambacho unashindwa kukifanya hivi sasa ambapo ni raia wa Tanzania pekee??
 
Itaingeza uwekezaji sana c unajua watu wengi wakichukua uraia wa nchi nyingine wanashindwa kuwekeza yaani una faida sana ndugu huwezi kujua mpaka utuke nje
 
Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.

Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.

Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Wameshawashtukia na kauli zenu za "bora kuzaliwa mbwa ulaya". Kwa mlivyo na uchungu moyoni mtaacha wazee tu hapa halafu uzalishaji Mali afanye Nani?,watu wanaona mbali mkuu. Anyway hiki ni kibwagizo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom