ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Sawa kabisa ni jambo muhimu tulipush mbele.Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vp kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno. Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa. Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele plz naomba tusaidiane.
Naunga mkono.Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.
Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.
Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Kwa ujengaji wa hoja kama huu wa kwako, siamini kama jambo hili litakubalika hivi karibuni.Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.
Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.
Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Serikali yetu inaogopa Uraia wa nchi mbili wakati majirani zetu Wa-Kenya wanatumia uraia wa nchi mbili. Kazi kweli sisi Wabongo tupo nyuma kwa kila kitu cha Maendeleo.Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.
Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.
Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
Uraia pacha una faida gani?Serikali yetu inaogopa Uraia wa nchi mbili wakati majirani zetu Wa-Kenya wanatumia uraia wa nchi mbili. Kazi kweli sisi Wabongo tupo nyuma kwa kila kitu cha Maendeleo.
Uraia pacha una faida gani?
Nini utafanya ukiwa raia wa Tanzania & Kenya ambacho unashindwa kukifanya hivi sasa ambapo ni raia wa Tanzania pekee??
Wameshawashtukia na kauli zenu za "bora kuzaliwa mbwa ulaya". Kwa mlivyo na uchungu moyoni mtaacha wazee tu hapa halafu uzalishaji Mali afanye Nani?,watu wanaona mbali mkuu. Anyway hiki ni kibwagizo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumuza mno.
Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio yanatakiwa.
Kama kuna anaeweza kupush hii kitu iendelee mbele please naomba tusaidiane.
πππKwa ujengaji wa hoja kama huu wa kwako, siamini kama jambo hili litakubalika hivi karibuni.