ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 237
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeiweka vizuri mkuu.Kulikuwa na wakati (wakati huo niko sekondari early 90s) watoto wa viongozi (mawaziri, mabalozi) walikuwa wanapendelewa (baadhi) kusoma shule za serikali. nakumbuka Tambaza na baadae Minaki nilisoma na watoto wengi tu wa mawaziri na mabalozi ambao walikuwa wanaingia kinyemela nyemela tu.....lakini sasa hivi hata mlala hoi hasiye na elimu anajitahidi mwanae hasiende shule hizo, aende private.......where did the public school system went wrong?! Mbona watu tena hawashobokei Ilboru na Mzumbe...wanalipa mamilioni kwenda seminary na private schools!
Walimu wote wale wazuri waliotamba wakati huo hawako tena shule za serikali...wako private au wameacha kabisa ualimu!



![WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG](https://xf23.jamii.app/data/attachments/3146/3146460-f71dfb500975a45a1cc938e1353a4c0f.jpg?hash=9x37UAl1pF)

Nami nilikuwa kama wao, hasa huyo wa katikati walio kaa huyo kifua wazi. St Kayumba, ilikuwa ngumu kweli aseenaomba yeyote mwenye maoni ya kujenga achangie.
kumbuka kwamba watoto wao wapo shaaban robert,mzizima,laureate,ist nk.
View attachment 60452View attachment 60453