Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Huyu dada hajawahi kukwama kwenye kutoa ngoma kali zenye ujazo na ujumbe conki huku zikiambatana na beats kali na melody classic. Sio kuwajaza misifa akina zuchu kila uchwao kwa promo za kuforce.

Duuh hii ngoma mpya ya Can dance inanipa burudani sana pande hizi za bukoba mjini hongera sana maua sama.
 
Hembu niambie ni ujumbe gani Maua Sama alikusudia kuutuma kwenye Iokote au Niteke?

Halafu kwanini Maua Sama na yeye asipigiwe promo za ku-force mkuu? Huu uzi umemfungulia Maua Sama lakini nimeshangaa umem-tag Zuchu.
 
Hembu niambie ni ujumbe gani Maua Sama alikusudia kuutuma kwenye Iokote au Niteke?

Halafu kwanini Maua Sama na yeye asipigiwe promo za ku-force mkuu? Huu uzi umemfungulia Maua Sama lakini nimeshangaa umem-tag Zuchu.
Mkuu langu ni kueleza burudani kali anazozitoa huyu mrembo aliyepo kwenye hii tasnia iliyojaa vijembe sana huku tukiendekeza ushabiki wa hovyo hovyo wa mautimu wcb mara litimu alikiba mara tim konde huku kukiwa na wasanii wanaoonekana kuwakata fimbo hao wazee wa promo za kuforce
 
Umeanza vizur lakin huko chini umeingiza chuki binafsi...

Kama huna promotion usitegemee kutoboa kwenye biashara yoyote....Tatizo la Maua hana management yakueleweka..
Promotion zero...hii Kan dance ndo ingekua ya watu wenye Management kali..basi ingekua inasumbua hata youtube na mtaani

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Best female musician bongo.......!! Sasa bongo tumeishiwa kweli hawa female musician..... yaani na huyu anawazwa kuwa...!!!
 
Ni kweli Maua Sama anajua sana kutoa burudani ila siyo best female musician, hayupo hata karibu na hiyo level. Muziki wake hauna impact kwa jamii ukitoa burudani.
 
Yah ni mkali sana sana tu.
Ila ifike muda tuwe tunasifu bila kumponda mwingine maana kila mmoja wao anatafuta ugali kwa style yake anayoona itamfikisha. tunaweza kuwa na akina maua sama wengi na tukawasupport wote.
 
Hata mimi nampenda kama unanamba yake nitumie
 
Hakuna msanii wa kike anayemzidi huyu dada kiuwezo kwa sasa bongo IMO
 
Riz king Maua sama yupo vizuri Sana wimbo wake wa "niteke" ninaukubali Sana Binafsi ndio wimbo wangu Bora kuliko wimbo wowote uliotoka miaka 2 iliyopita ila mzee baba unakosea kuingiza chuki zisizo za msingi Hiv kulikuwa na haja gani ya kumuingiza Zuchu Wakati Uzi unamuhusu maua sama vitu Kama hivi vinafanya uteam uzidi alafu baadae maua sama akianza kuchukiwa unaanza kupiga mayowe.Kila msanii ana taste yake na kila mtu ana liziki yake
 
mi naamini hakuna cha utimu wala nini. Mbona nyimbo kama iokote,uno,dodo,gere, zina streams na views wengi tu huko mitandaoni???
Huyo maua sama nyimbo zake huwa zinapostiwa na mwana fa, Millard Ayo n.k,na kuwa promoted media mbalimbali,
Kazi nzuri inatembea yenyewe.
 
Mtu analalamika zuchu ana bebwa na wcb anasahau kwamba Nandy anabebwa na clouds media,au ndo mmekubali wcb ni zaidi ya clouds???

Halafu huyo huyo zuchu ana waacha mbali female artist wote bongo kwenye digital platforms ndani ya kipindi kifupi tangu atambulishwe.

Kazi nzuri inatembea yenyewe. Unaweza usiipende wewe ila wengi ndio watakao amua na wanaotumia hizo digital platforms ni watu sio maroboti.
 
Huyu mwEnye kuimba ngono ngono tu
...
Never...
 
umeongea kweli kabisa, ingawa wenye timu yao tayari wamefika na kuanza mashambulizi.

mtoa mada na wachangiaji kadhaa wamemtaja diamond, basi nami ngoja nimtaje kidogo...........

ukweli ni kuwa diamond si mtu wa kawaida katika jukwaa hili la jamii forum, kumsema vibaya humu ni kutafuta vita! niliacha kumsema na kumheshimu sana diamond pale alipotoa wimbo wa 'Baba Lao' ambapo aliwaambia kabisa wanaJF kuwa makonda na mwakyembe ni baba zao. furaha walioipata wanaJF ilikuwa si ya kawaida. yaani ilikuwa vigumu kuamini kuwa diamond kirahisi tu ameweza kuwapatia wanajf baba ambaye ni makonda (mtu ambaye alikuwa anasemwa vibaya mno).

maua yuko vizuri sana sana sana!
 
Maua Sama ni best female artist kwa sasa bongo kwa maoni yangu!Binti hana makuu ila kanapenda kuimba kukazwakazwa mpaka huwa nakatamani japo sura yake huwa haina msimamo!Kuna kipindi kanaonekana kazuri na kanavutia ila kuna kipindi kanaonekana hakana mvuto!
Sauti yake hapa bongo ni adimu,labda kwa mbali Ruby!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…