IFM Admission office/secretary nani kawaroga?

IFM Admission office/secretary nani kawaroga?

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
516
Reaction score
144
Sijajua ni mazoea au ni malezi, kuna mama mweupe mmoja yupo ofisi ya admission, hana huruma na wanafunzi hata kidogo, mimi nilienda kufanya clearance yangu leo, kumbe vijana wanafanya mitihani, sasa kuna wale loan beneficiary ambao boom halijatoka mpaka leo na wanategemea walitoe sehemu kama ada.

Lakini kila wakijaribu kumweleza yule mama, alikuwa ana kapewa mamlaka ya kuchapisha vitambulisho vya temporal,kuwa wanahitaji vitambulisho hivyo ili wakafanye mtihani, akawatolea nje, kuna vijana wamekosa paper mbili za test one am just thinking why a less educated person like her to be granted this authority ! matatizo ya institute haya.
 
Duh! ebhana io xio kabisa na pipo tmeshagonga test 1 cjui wafanyeje.
 
Atakuwa hana mtoto wala bwana, mara nyingi hao ndio wanakuwa na-tabia kama hizo!
 
Wape namba ya register anaitwa dk jaffary yupo room no 11
 
Back
Top Bottom