Nawatakia wanafunzi wenzangu wa IFM ,maandalizi,na mafanikio mema ktk mithahan inayoanza kesho j3.
Cha muhimu ni kukomaa na ulicho nacho kichwani,other materials ni hatari saaaaana kama mnavyo jua IFM ilivyo, haisubiri hata jua likazama cku hiyohiyo una ambiwa kwaheri.
Mungu atusaidie.