wakuu, nna mdogowangu kachaguliwa "bs in insurance and risk management". Hapo IFM.. Hivi hii koz ikoje kiujumla kwa yule anayeifaham.....
#thanks #
Kozi ya kidada sanaa ,na ni kozi zoazoa hiyo watu wa kombi zote inachukua watu 450,, kuhusu ajira zipo kidogo maana mabenki yote tanzania yameshauriwa kuanzisha vitengo vya riskmanagement ,,
bachelor of science
Mkuu,
Kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa humu jukwaani kwa muda mrefu kuwa, unapochagua taaluma hakikisha mambo yafuatayo;
...Unaipenda taaluma husika, hili ni jambo la muhimu sana. Nadhani unajua kuwa sisi ndio tuna-create who we want to be. Hivyo kama kitu unakipenda huna sababu ya kuhofia changamoto zake. Just go for it and believe in your self and everything will be just fine.
...Kwa wengine wana amini katika familia, kismati na mambo ya network. Hapa napo pana umuhimu wake. Kama kwenu wazazi, kaka na dada zako wamepitia taaluma hiyo hiyo, au wana watu wanawafahamu wapo kwenye taaluma hiyo. Hiyo ni added advantage kwa mwanafunzi kuisoma maana tayari ameshaandaliwa barabara na hatokumbana na changamoto.
...On top of all, we should think more of how we can get to employ others instead of spending a lot of time thinking of "where are we going to be employed?".
Kozi ya kidada sanaa ,na ni kozi zoazoa hiyo watu wa kombi zote inachukua watu 450,, kuhusu ajira zipo kidogo maana mabenki yote tanzania yameshauriwa kuanzisha vitengo vya riskmanagement ,,
Kijana, kama nisingekua na maadili ningekupa tusi kubwa sana. Hivi unafikiria kweli kabla ya kuandika unachokiandika? Mtu kauliza swali kwa kumaanisha unaleta masihara? I'd yako tu inaonesha wewe bado ni mwanafunzi. Humu kuna watu wenye heshima zao waliokuzidi umri, usipende kuropoka hovyo kama huna hoja ya msingi au ushauri thabiti wa kumpa mtu.
thanksMkuu,
Kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa humu jukwaani kwa muda mrefu kuwa, unapochagua taaluma hakikisha mambo yafuatayo;
...Unaipenda taaluma husika, hili ni jambo la muhimu sana. Nadhani unajua kuwa sisi ndio tuna-create who we want to be. Hivyo kama kitu unakipenda huna sababu ya kuhofia changamoto zake. Just go for it and believe in your self and everything will be just fine.
...Kwa wengine wana amini katika familia, kismati na mambo ya network. Hapa napo pana umuhimu wake. Kama kwenu wazazi, kaka na dada zako wamepitia taaluma hiyo hiyo, au wana watu wanawafahamu wapo kwenye taaluma hiyo. Hiyo ni added advantage kwa mwanafunzi kuisoma maana tayari ameshaandaliwa barabara na hatokumbana na changamoto.
...On top of all, we should think more of how we can get to employ others instead of spending a lot of time thinking of "where are we going to be employed?".
Me naxoma hyo koz ,hapa bongo na E.afrca kwa ujumla n IFM tu wanaotoa hyo koz..ni kozi ngumu inayohtaji msuli kwa bongo ndyo market yake ndo inakua kwahyo askate tamaa..lakn kama kawaida ya IFM mdogo wako anapokuja ahakkshe ameptia angalau Account,math na economics
via Nokia 2330c