JIMMY JORAM Member Joined May 1, 2013 Posts 38 Reaction score 20 Sep 6, 2018 #1 Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.
Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.