HASIRA HASARA
Member
- Aug 21, 2012
- 17
- 0
Kwa wale mlochaguliwa ifm medical examination form iko on air tayari...tembelea www.ifm.ac.tz ujipakulie mzigo
nawasilisha
asante kwa infmtn mkuu.vp twaweza pata admision latter za ifm
asante mkuu
Asante sana mkuu kwa information ngoja nijipakulie.
join instruction na medical examination form tayari mkononi narudia kutoa shukrani kwa info.
shukrani pia...ukienda chuo endelea na moyo huo huo wa kufanyia kazi mambo ya msingi na kuwa makini na jasiri kwa kile utendacho