Log rahisi, huyu kakutana na nyoka nyokaAu kuna logarithm
Kwamba simu nyingine hata ukikosea kuandika zinakurekebisha automatically [emoji4]Hivi Mod kwa Nini mliweka zuio kwenye ku edit Heading[emoji2960][emoji2960]...ona sasa Tecno ilivo nitenda hapo juu!
Ni kweli mtu asome mahesabu yatakayo msaidia katika kozi zake sio mihesabu hutaitumia lakini inaweza fanya u disco.Mtu hawezi kulalamika mahesabu ya kifedha ila mahesabu mengine lazima alalamike
Kwani kuprotect watu kunaitaji hesabu?Utaprotect vipi watu kama hujui mahesabu[emoji848]
hama chuoChuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.
Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.
Lengo lenu nini?
Mnatukwaza Manguin'
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Duhhama chuo
Natania mkuu, hiyo system siyo IFM tu hata ukienda SUA utakutana na hiko kitu wenyewe wanaita MTH 104, MTH 206.
hahahah jamaa labda alijua no security guardHivi unajielewa kweli dogo?
Unajua hata unachosomea kweli? Ama kwasababu imeitwa SOCIAL PROTECTION basi ndo ukajua ni ilivyo kama jina lake?
Unajua kama hapo ni CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA?
Unajua kama ni chuo kilichopo chini ya Wizara Ya Fedha?
Unajua hasa core perspective ya hiyo course?
Very arrogant aisee... Social protection is wide. Unadeal na financing, uchumi kiujumla. Unadeal na bima let it be ya maisha ya watu ama properties. Ulifikiri unaenda kusoma SOCIALOGY ama? Mbona hata yenyewe wana hesabu?
Unataka ukafanye kazi kwenye mashirika ya bima hujui hesabu? Kuw ana adabu na course zetu dogo. Na nikuambie tuu, ya hapo IFM imelegea hesabu. Wenzako walienda Masters nje kidogo wakimbie kwa hayo mahesabu. How are u gonna be an ACTUAREE? Mbona hujalalamika kusoma Course ya Law ama CS?
Hamaa kama pamekushindaaa.....