IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

Ndugu siwezi kukataa mawazo mapya ila nilichokuwa najaribu kukwambia kaa mbali na shughuli zinazowalenga sana economist, sociologist na social workers .ishu kama child care ,elimu, afya ,maji etc kuna wataalamu huko na watunga sera.
Wewe jaribu kusimama upande wako namna ya kudeal na majanga,na upande uliopo hesabu haikwepeki ,maana decision making ina depend katika namba.

Rejea mkataba azam ilioingia wa billioni 200 kwa miaka kumi ligi kuu bara, hawakuingia kichwa kichwa, kuna wataalamu walikaa chini wakafocast,fanya projection wakaja na modal inayoonesha baada ya 10 years wataingiza faida hicho ndio nacho kimaanisha.
 
Nadhani angesoma social work au sociology ingemfaa sana.
Amebase sana kwenye ustawi wa jamii
 
Kweli maana kama kuandika tu shida hivi sijui iyo hesabu kama utaiweza.
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah!hesabu atuachie wenyewe yeye akomae na kiswahili na aende pale ustawi kusoma

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tafuta sana information ndugu, Hakuna financial institutions yoyote ile ambayo haina risk analyst/financial analyst haipo ,kampuni za simu, madini kote huko. Hata wakienda chukua mkopo lazima kwanza mahesabu lazima yapigwe. Ili kampuni ijiendeshe lazima ilinde mtaji kwanza.

Rejea kilicho wakuta TALA na BRANCH
 
Nadhani angesoma social work au sociology ingemfaa sana.
Amebase sana kwenye ustawi wa jamii
Nimeachana naye huyo ananipotezea muda tu

Analalamika hesabu halaf tena anasema yeye hasomi hapo. Unamwelezea ila anashupaza shingo. Sasa kama siyo kitu anachosoma ama hasomi anakiongeleaje hivi kwa ujasiri wakati hajui kitu. Rubbish kabisa
 
Tatiilzo mkuu unazijua Taasisi za Fedha pekee !
 
Pole sana Miss kasome masomo uejye ajira ..sekta Binafsi ,Kuna deal nyingi tu kwenye Social Welfare and Protection ...Ninewaambia kuwa hii kuchanganya Unguin na Hesabu ..Wanguin watachukua hata hicho vichache mlivyo navyo ...All the Best Miss!
 
Penguin ni wazuri ktk uandishi. Km hauna akili ya hesabu, angalau uwe na akili ya kusoma ulichokiandika mara 2 au zaidi kabla ya ku-post. Hasa pale unapojua kuwa hautakuwa na nafasi ya ku-edit.
Hivi Mod kwa Nini mliweka zuio kwenye ku edit Heading🤭🤭...ona sasa Tecno ilivo nitenda hapo juu!
 
Pole sana Miss kasome masomo uejye ajira ..sekta Binafsi ,Kuna deal nyingi tu kwenye Social Welfare and Protection ...Ninewaambia kuwa hii kuchanganya Unguin na Hesabu ..Wanguin watachukua hata hicho vichache mlivyo navyo ...All the Best Miss!
We have other life from that. Ni ifike time tu sote tujue kwamba Elimu tuipatayo darasani ndo iwe chachu ya kutafuta fursa zingine na siyo kusubiri kuajiriwa. Hata huko tulikoajiriwa ilikua ushubwada tuu private sectors...

Hiyo mifuko ya jamii itaendelea kufa kwakua wanaendekeza siasa. Ushubwada mtupu.

Wengi walikua na passion kweli ya kwenda kuifufua. Lakini siasa zilivyokithiri wooii.. ila kila mtu atapata mkate wake kwa namna alivyoandikiwa. Ujasiriamali is life
 
Hata ukisoma SUA ni lazima kuna courses ni za chuo kizima na ni lazima usome kuna courses inaitwa statistics , yellow book n.k. ni lazima kwahiyo kila chuo kuna compulsory course s

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
tz ni nchi ya pekee sana.

vyuoni watu wanapiga course ngumu zenye calculation kibao na wana graduate.

lakini bado serikali inakwambia baadhi ya sector zina uhaba wa wataalam.
 
tz ni nchi ya pekee sana.

vyuoni watu wanapiga course ngumu zenye calculation kibao na wana graduate.

lakini bado serikali inakwambia baadhi ya sector zina uhaba wa wataalam.
U can imagine[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…