IFM Mwanza yageuka dampo la degree za insurance and risk management,

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
  • Bachelor of Accounting - 81
  • Bachelor of Banking and Finance - 103
  • Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553

Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni.

Kwa uhalisia, nafasi za ajira za Insurance ni nadra sana na zikitokea, ni za kampuni chache za bima pekee. Ukiingia ajira portal ya serikali, hakuna kipengele cha insurance, na mara nyingi ajira zinazotangazwa hazihitaji taaluma hiyo kabisa.

Hata ukiangalia vyuo vinavyotoa kozi hii viwili tu nchi nzima, IAA na IFM (Udsm iliwahi kuwepo wakaifuta), kwa IAA ni moja ya kozi yenye wanafunzi wachache sana, IFM main campus ya Dar ipo lakini bado haimo top 4 kwenye kozi zenye wanafunzi wengi, Dodoma campus hii kozi haipo kabisa.

MAPENDEKEZO
  1. degree za insurance zinahitajika lakini zipunguzwe ziwe hata 100 wanatosha,
  2. wanafunzi wa accounting waongezwe wafike hata 300
  3. ziongezwe degree za ziada kama Procurement, HR na IT, demand ipo both serikalini na Private sector
 

Attachments

Acha wasome waanzishe makampuni ya bima.
Sasa kama vijana hawaelewi wanachokitaka kwanini vyuo viwapangie?
Yani unachukulia mambo kirahisi sana, Utawapa mitaji ya kuanzisha hayo makampuni ?

Hio kozi uhitaji wake upo ila ni mdogo sana ndio maana hata vyuo ni vichache.

Hata ukiingia ajira portal mtandao wa ajira za serikalini hakuna section ya insurance.

 
ni kwel hata ajira zao kutafuta kwa mbinde mzee
 
Wenyewe wanaosoma wanajua watakako zipeleka hizo digrii za Insurance na Risk management

Pilpili shamba wewe.mleta mada kinakuwasha nini? Ada za kwao vichwa vya kwao
 
ni kwel hata ajira zao kutafuta kwa mbinde mzee
kupata kazi tu kwenye private sector ni kazi nyingine, ila kwa serikalini ni hakuna kabisa, hio kozi inawafaa wale vijana wenye mitaji mikubwa ya uhakika ya kujiajirivwenyewe ndio wasomee hiyo kozi, sio za watafuta ajira, kupata kazi za insurance and risk management ni mtihani mwingine mzito zaidi kwa vijana hata kuliko paper la archtecture students
 
Well bcs ya banking and finance ni easy to get, require misuli michache

While accounting is lilttle different
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…