IFM Programmes for 2012/2013

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,238
Reaction score
324
Msaada tafadhali kuna ndugu yangu amepata admision IFM kwenye programe:
Bachelor of Science in SOCIAL PROTECTION naomba mwenye uelewa wa hii kozi anijulisha
baada ya hapo unakuwa nani? na soko lake la ajira limekaaje? au uwezekano wa mtu kujiajiri kwa kuapply knowledge inawezekana?
msaada unahitajika haraka sana!
 
Embu ngoja wataalamu wanakuja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…