Hasson Da Melles
Member
- Aug 11, 2012
- 76
- 3
yaah wa2 hawakichagua that y wa2nyomi wametupwa hukojamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
hebu tupe data ulizonazo kuhusu ifm ndugu yangu kuwa ni vilaza, maana paul kitereja maana tunachokitafuta ni ufanisi kazini na tunawaona vijana wa udsm sua ,mzumbe etc walivyotofauto na hawa watu,sasa basi ninatambua fika wewe umetokea kijijini live ukaja ukasoma either udsm ndio wana dhima kama zako kuwa IFM,IAA,TIA ,DIT KUWA SABABU NI INSTITUTE basi ni vilaza na hii dhana imewaangusha sana nyinyi udsm sijui sua maana mmekuja mtaani MNACHAGUA KAZI WAJINGA WATUPU .Hata hapa ulipopostupumbavu wako waangalie ,founders wana basic za wapi,hivi vyuoIFM,IAA,TIA ,DIT vinatoa much practical than theory mhasibu anayetoka kwenye hivyi vyuo wewe wa udsm humkamati ukitaka kuniamini nenda pale TRA na kwenye many financial institution ukachunguze wanawataka/wanapendelea kutoka wapi?Acha uongo wewe huna data!!!ifm wengi vilaza hata wenyewe mnajijua kama ni vilaza..! Kajipange tenah halafu uje na data...
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco:
hebu tupe data ulizonazo kuhusu ifm ndugu yangu kuwa ni vilaza, maana paul kitereja maana tunachokitafuta ni ufanisi kazini na tunawaona vijana wa udsm sua ,mzumbe etc walivyotofauto na hawa watu,sasa basi ninatambua fika wewe umetokea kijijini live ukaja ukasoma either udsm ndio wana dhima kama zako kuwa IFM,IAA,TIA ,DIT KUWA SABABU NI INSTITUTE basi ni vilaza na hii dhana imewaangusha sana nyinyi udsm sijui sua maana mmekuja mtaani MNACHAGUA KAZI WAJINGA WATUPU .Hata hapa ulipopostupumbavu wako waangalie ,founders wana basic za wapi,hivi vyuoIFM,IAA,TIA ,DIT vinatoa much practical than theory mhasibu anayetoka kwenye hivyi vyuo wewe wa udsm humkamati ukitaka kuniamini nenda pale TRA na kwenye many financial institution ukachunguze wanawataka/wanapendelea kutoka wapi?
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco: