Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) n kwamba admission letters na joining instructions zmeshaanza kutolewa chuon hapo tokea jana....kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zao chuoni hapo kwa maana bado hawaziweka kwenye website yao..