Katika ratiba ya sasa, hii mitihani imekuwa squeezed ndani ya working hours, i.e ratiba ya hairuhusu mitihani kufanyika jioni na week-end kama ilivyokuwa hapo nyuma. Kuna taarifa kwamba walimu wao wanainfluence mgomo ili ratiba itawanywe hadi masaa ya nje ya kazi (jioni) na week-end ili invigilators (ambao ni walimu) waweze kujipatia vihela vya overtime !!! Kwa hiyo you can see how hela zinavyotafutwa hadi hatua ya kuviolate ufanyikaji wa mitihani !! Na wanafunzi nao wamekubali kwani kwa upande wao watajiandaa na mitihani michache per day, ingawa ni weak reason!