Ramos Gerald
Member
- May 30, 2017
- 44
- 44
Huyu Jamaa mpuuzi sana. Hawa madalali wa simu wajinga.Hapo kwenye kutoa I cloud hapo
Ntakuletea iPhone ina I cloud unitolee
Boss zako Mkuu heshimu biashara za watuu.. We uza ata laki...Huyu Jamaa mpuuzi sana. Hawa madalali wa simu wajinga.
iPhone 11 64 GB 2.6??
Me 64GB nauza 2.25[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.Boss zako zinatoka China battery health 100% bado zinazimu. Mkuu heshimu biashara za watuu.. We uza ata laki...
Cha msingi angalia usipete hasara n mzigo wako...
Jinga kubwa wew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeamka n mim nin? Chief mpaka wew tunakutoa lock..Tafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.
ok..naulizia iphone se (2016) kwa aliyenayoTafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.
Mkuu tunatafuta hela unakuja k comment upuuzi nicheck nikuoneshe wanatoaje lock 0716372025Tafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.
Tako wew watu tunatafuta hela unakuja k comment upuuzi nicheck nikuoneshe wanatoaje lock 0716372025
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta sehemu simu zangu zimezima?? Mtoto mpuuzi sana acha utapeli wa kusema unatoa iCloud mbute wewe.
Hapo kuna kuna kitu hakijaelezwa, nadhani hizo hazikuwa designed california na kupelekwa China for assembly bali kila kitu ni Wuhaniphone mpya zero kilometer..warrant ni miezi.3???.kwa bei hizo hizo ulizotaja??.
Safi mkuu...Kauli mbovu ni mwanzo wa kufeli biashara.
Mteja gsni atatamani kuja kununua kwa watukanaji?
Mngeweza kukosoana kistaarabu.
Mmoja wenu ninamfahsmu ni mtata sana.
Kifo cha biashara huanza taratibu kama cancer, mwishowe wateja watakupatia jina baya hatimaye biashara kufa.
Jifunzeni mbinu bora za kibiashara...mtatoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Oky hakika mkuu.Hapo kuna kuna kitu hakijaelezwa, nadhani hizo hazikuwa designed california na kupelekwa China for assembly bali kila kitu ni Wuhan
Pamoja mkuu shukrani sana.
Tujifunze kwa waliopiga hatua kibiashara mkuu.Pamoja mkuu shukrani sana.
Kwa msaada wako nakuaga confused kweli n watu kama hawa kwenye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuTujifunze kwa waliopiga hatua kibiashara mkuu.
1. Nchi zilizoendelea ukiingia dukani kwake na
Ukakejeli huduma yake hutaona aki react..
Wanaamini mteja ni mungu au mfalme je utamlaumu mfalme?
2. Watakujibu na kukuelewesha kwa upole, je hawana hasira? Laah! Wana hasira sana tu lakini wanatambua kuwa biashara ni vita lazima wapigani kwa akili na weledi..kivipi?
Kukuelimisha juu ya madai yako au kukushawishi hadi ukubaliane naye ili tu kujenga imani na kutengeneza jina.
Mkuu linda JINA
Sent using Jamii Forums mobile app