Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Nov 26, 2016 #1 IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE; 1.Serikali yawapeleka nyuki depo ili kuweza kulinda benki. 2.Serikali yapiga marufuku ulaji wa udongo baada ya mama moja huko Mbeya kujifungua tofali la kuchoma. 3.Mende 336 wamefikishwa mahakamani Kisutu baada ya kukutwa na vikaratasi mfukoni vilivyosomwa wamechoka na harufu ya choo. 4.Afariki dunia kwa tone la jasho la kwapa. 5.Babar yagundulika huko kisiwa cha ugoro. 6.Ameza punje ya mchele ajifungua ubwabwa. 7.Waarabu 3000 wamefariki dunia baada ya kudumbukia Kwenye kikombe cha kahawa. 8.Watu 2 wafikishwa mahakamani huko Simiyu baada ya kukutwa na magunia ya mbu.
IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE; 1.Serikali yawapeleka nyuki depo ili kuweza kulinda benki. 2.Serikali yapiga marufuku ulaji wa udongo baada ya mama moja huko Mbeya kujifungua tofali la kuchoma. 3.Mende 336 wamefikishwa mahakamani Kisutu baada ya kukutwa na vikaratasi mfukoni vilivyosomwa wamechoka na harufu ya choo. 4.Afariki dunia kwa tone la jasho la kwapa. 5.Babar yagundulika huko kisiwa cha ugoro. 6.Ameza punje ya mchele ajifungua ubwabwa. 7.Waarabu 3000 wamefariki dunia baada ya kudumbukia Kwenye kikombe cha kahawa. 8.Watu 2 wafikishwa mahakamani huko Simiyu baada ya kukutwa na magunia ya mbu.
House of Commons JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 2,179 Reaction score 2,177 Nov 26, 2016 #2 Is it a joke or literature?...
salthanks JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 3,284 Reaction score 6,854 Nov 26, 2016 #3 Umechemka,,,wala havichekeshi,hv kawachekeshee watoto wa chekechea
Kyodowe JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,236 Reaction score 1,368 Nov 26, 2016 #4 Mkuu mzizikavu...[emoji119]