hauzimwi huo moto?
Kwa hiyo utawaka hadi ufike Dar?Hakuna vifaa na watu wa kuuzima.
kwa hiyo utawaka hadi ufike dar?
Basi dunia itateketea.Mpaka uishiwie cha kuunguza
Kwa hiyo utawaka hadi ufike Dar?
How!!!kwani lilikuwa limefungwa kila sehemu??Huu moto sijui ulirukaje?
Sitasahau enzi hizo mama anapika pombe.
Ghafla pipa likaanza kujikunja (madhara ya atmospheric pressure) watabe wa physics mtaelewa hapa.
Then pipa likaruka kama bomu sema halikwenda mbali sana.
Fluid iliyokuwa ndani ikamwagika yote na pipa likajikunjakunja hovyo.
Nashukuru Mungu hatukupata madhara.