Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ahsanteiga inter government agreement, makubaliano ya nchi mbili kushirikiana ama kuwa wamoja kwenye vitu kama kulinga mazingira, kuimarisha usalama, n.k.
Hga - host government agreement, nchi moja inatoa huduma nyingine inasaidiwa huduma, hii sana sana kwenye uwekezaji kwamba nchi moja inawekeza kwa host country, mfano kwenye huu mkataba wa bandari sisi ndio host
nime edit, nimeongeza maelezo,Ahsante
IGAmwenye kujua maana zake tunaomba ufafanuzi wa kina ili tupate kuelewa
Kwa suala la uwekezaji kwenye bandari zetu, kama hatuna ushirikiano na Emirate ya Dubai, tungeingia mkataba wa kimataifa wa kibiashara (Bilateral International Agreement BIT) unaotuwezesha nasi kuwekeza huko. Kama upo, kwa nini kuandaa IGA yenye vifungu batili?iga inter government agreement, makubaliano ya nchi mbili kushirikiana ama kuwa wamoja kwenye vitu kama kulinda mazingira, kuimarisha usalama, n.k...
Tunapigwa kanzu kwajili ya watu wachacheKwa suala la uwekezaji kwenye bandari zetu, kama hatuna ushirikiano na Emirate ya Dubai, tungeingia mkataba wa kimataifa wa kibiashara (Bilateral International Agreement BIT) unaotuwezesha nasi kuwekeza huko. Kama upo, kwa nini kuandaa IGA yenye vifungu batili?