Wakuu kuna igizo linaendelea TBC 1 'linaiua' ccm hasa. Linaelezea vigezo vyote vya ufisadi wa ccm kama rushwa kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Pia wananchi wanahamasishana kuchagua viongozi wenye sifa za wagombea wa CHADEMA. Pia wanaongelea jimbo ila kwa mtu mwelewa atajua wanamzungumzia JK.
Mafisadi wakitushinda Oct 31, mpaka ifike 2015 watatuoa roho kwa visa na visasi, kwa kuiba kufidia na kuweka akiba ya kuanzaia kampeni za 2015. Plan B & C are very important:doh: