INAUZWA Igoma-Mwanza: Bajaj ya abiria kwa bei ndogo

INAUZWA Igoma-Mwanza: Bajaj ya abiria kwa bei ndogo

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza

engine nzima, seat nzima, 0713096076

kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu

Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.

IMG_20220329_095436_702.jpg
IMG_20220329_095406_823.jpg
IMG_20220329_095330_672.jpg
 
Mzee wa gari ya milioni 3 manual😅😅😂
Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku.
 
Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku.
😅😅😅😅
Kweli kabisa.

naiuza shida tu hii.

karibu sana mkuu kwa wewe mstaafu inakufaa sana.

unaendesha ukichoka unalala humo humo
 
Back
Top Bottom