Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 31, 2022 #1 Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 31, 2022 #2 Mhhh!
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 31, 2022 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Mhhh! Click to expand... Mzee wa gari ya milioni 3 manualπ π π
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 31, 2022 #4 Get Rich said: Mzee wa gari ya milioni 3 manualπ π π Click to expand... Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku.
Get Rich said: Mzee wa gari ya milioni 3 manualπ π π Click to expand... Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku.
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 31, 2022 Thread starter #5 Tate Mkuu said: Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku. Click to expand... π π π π Kweli kabisa. naiuza shida tu hii. karibu sana mkuu kwa wewe mstaafu inakufaa sana. unaendesha ukichoka unalala humo humo
Tate Mkuu said: Usitoke nje ya mada! Kumbuka tuko sokoni, tunauza bajaj kwa bei ndogo, huku ikiwa na uwezo wa kuingiza 15000+ 'faida tupu' kwa siku. Click to expand... π π π π Kweli kabisa. naiuza shida tu hii. karibu sana mkuu kwa wewe mstaafu inakufaa sana. unaendesha ukichoka unalala humo humo