Plot4Sale Igoma-Mwanza: Kiwanja kinauzwa

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Info:

kiwanja kipo Igoma, mtaa wa Kilimo A.
0713096076
Umeme upo karibu na Beacon

Size ni hatua 35 kwa 25 za mtu mzima (sijapima Kwa mita tafadhali)

Beacon zimewekwa na kishapimwa zamani sana.

Maji Yapo unavuta mita chache kutoka kwa Jirani.

Barabara ipo kinaingilika vizuri hakijabanwa na jirani yeyote.

Bei elekezi: 15,000,000 Tshs (milioni 15 tu)

Tuwasiliane kama uko serious 0713096076
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…